Whitney amefariki akiwa na umri wa miaka 48
Mwanamuziki mashuhuri wa Marekani Whitney Houston amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 48, kwa mujibu wa Kristen Foster, mwandishi wake wa habari.
Fani yake iliwahi kuzongwa na matumizi ya dawa za kulevya na maisha yake yenye matatizo katika ndoa na msanii Bobby Brown.
No comments:
Post a Comment