1
Wakati soko la movie bongo bado likiwa na wingi wa movie za
mapenzi, bado movie za action zinazidi kuingia kwenye soka la movie
duniani kwa mwaka huu, ambapo chuma kipya cha mkali wa movie Denzel
Washington kiitwacho SAFE HOUSE kinatoka tarehe 10 february 2012.
Kwa ufupi Stori yake iko hivi, wakati wanajeshi waasi kutoka nchi jirani wanashambulia kambi ya askari wa ujasusi wa marekani, mwanajeshi mmoja mdogo kiumri inabidi achukue jukumu la kumuhamisha muhalifu ambae alikua amefungiwa kwenye kambi ya C.I.A, utata unakuja wakati mission inatakiwa kukamilika pale ambapo mtuhumiwa huyo atafikishwa kwenye sehemu salama, kuna mkono mrefu sana ndani yake.

Hiyo ni sehemu ya movie mpya ya densel washington, inaitwa
Safe House ambayo imechezwa cape town Afrika kusini, starring ni Denzel
washington mwenyewe pamoja na Ryan Reynolds.
Director ni mkali Daniel Espinosa, ambapo kama sijakosea hii ndio itakua movie ya Denzel Washington inayofata baada ya kutoa ustoppable mwaka juzi.
Chek Trailer yake hapo chini..
CLICK hapa Kutazama Trailer
Kwa ufupi Stori yake iko hivi, wakati wanajeshi waasi kutoka nchi jirani wanashambulia kambi ya askari wa ujasusi wa marekani, mwanajeshi mmoja mdogo kiumri inabidi achukue jukumu la kumuhamisha muhalifu ambae alikua amefungiwa kwenye kambi ya C.I.A, utata unakuja wakati mission inatakiwa kukamilika pale ambapo mtuhumiwa huyo atafikishwa kwenye sehemu salama, kuna mkono mrefu sana ndani yake.
chek
jamaa wanavyochukua video, kuna mengi sana ya kujifunza kutoka kwao,
hao watu wengine wanajidai wako busy utadhani hawajui, kumbe wanahusika
sana kwenye movie.
Director ni mkali Daniel Espinosa, ambapo kama sijakosea hii ndio itakua movie ya Denzel Washington inayofata baada ya kutoa ustoppable mwaka juzi.
Chek Trailer yake hapo chini..
CLICK hapa Kutazama Trailer
No comments:
Post a Comment