Housegirl mwenye HIV achakachua uji wa mtoto wa bosi na damu yake ya hedhi (period)Housegirl mwenye umri wa miaka 17 amebambwa akiweka damu
yake ya hedhi (period) kwenye uji wa mtoto wa muajiri wake, mwenye umri
wa miaka 4. Msichana huyo anayeitwa Pelagia Mureya, alifanya kioja hicho
cha kutisha nchini Zimbabwe
kwa mujibu wa website ya NewsDay, Miss Mureya, ambaye ni HIV positive,
alifanya kitendo hicho cha kikatili mara kadhaa kabla ya kukamatwaUchakachuaji huo uligundulika pale mwajiri wake aliona tone la damu wakati mtoto wake akila uji, na kufanya "uchunguzi."
Baada ya kukamatwa, Mureya alidai hafahamu damu imetoka wapi
Mwajiri wake alichukua uji, mtoto wake na mjakazi Hospitali Gutu Vijijini ambapo vipimo vilithibitisha ilikuwa ni damu ya hedhi ya Mureya.
Mureya, ambaye ni kutoka kijiji cha Chinhoyi, alihukumiwa miaka 10 jela.
Hakukuwa na maelezo yaliyotolewa ni kwa nini aliweka damu kwenye uji wa mtoto wa muajiri wake.
No comments:
Post a Comment