Monday, February 13, 2012

WHITNEY HOUSTON AFARIKI



Houston
Whitney  amefariki akiwa na umri wa miaka 48

Mwanamuziki mashuhuri wa Marekani Whitney Houston amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 48, kwa mujibu wa Kristen Foster, mwandishi wake wa habari.
Sababu za kifo chake  bado hazifahamiki, lakini polisi wamesema hakuna dalili ya mtu yoyote kusika na kifo cha nyota huyo  wnitney Akiwa mmoja wa wanamuziki wenye mafanikio makubwa duniani, pia aliwahi kuwa mcheza filamu, katika michezo kama vile The Bodyguard na Waiting to Exhale.
Fani yake iliwahi kuzongwa na matumizi ya dawa za kulevya na maisha yake yenye matatizo katika ndoa na msanii Bobby Brown.

No comments:

Post a Comment